歌词

Hohohoo hohoo hoho
Hohohoo hohoo hoho

Hohohoo hohoo hoho
Hohohoo hohoo hoho

歌词在下面...

不想看到广告?马上升级

Salamu ulizo nitumia ah
Zimenifikia ah
Nipo salama hata usijali
Nalishwa vitamu
Vinono najilia ah
Biliyani yangamia
Penzi twadalikana poo kidali

Nimekusahau
Nakumbuka tu lako jina
Kidogo angalu
Umengoa mizizi sio kukatashina
Penzi wakapanda dau ah
Mjini baba pesa fitina
Mimi ukanidharau
Visenti haba mfuko umechina

Nando uwezo wangu ulipo ishia
Ningekupa nini tena
Kula yangu yakupapasia
(Hukumeza ukaatema)

Mimi sina gali
Ningekupa nini tena (ooohoohoo)
(Hukumeza ukaatema)
Eeeheeehee

Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... Nadeke...

Ndanimashamu shama mtoto kanikabiri ooh
Hadi na come come kuminambili arufajiri

Na nishamvesha nyota cheo chake kikubwa cha mapenzi
Kanijaza kanichota kanishika pabayaa

Nakutadharisha simu zausiku punguza
Unahatarisha penzi langu moto kuunguza

Nishakusahau nakumbuka tuu lako jina
Kidogo angaluu
Umengoa mizizi sio kukatashina
Penzi wakapanda dau anh
Mjini baba pesa fitina
Mimi ukanidharau
Visenti haba mfuko umechina

Nando uwezo wangu ulipo ishia
Ningekupa nini tena
Kula yangu yakupapasia {hukumweza ukaatema}

Mimi sina gali
Ningekupa nini tena (ooohoohoo)
{Hukumweza ukaatema}eeeheeehee

Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... Nadeke...

Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... Nadeke...

Writer(s): Sheila Shorongo

不想看到广告?马上升级

API Calls

从 Spotify 记录音乐?

将您的 Spotify 帐户连接到您的 Last.fm 帐户,通过任何设备或平台上的任何 Spotify 应用记录您所听的一切内容。

连接到 Spotify

关闭