歌词

Ayo Lizer

(WASAFI RECORDS)

歌词在下面...

不想看到广告?马上升级

Aii! Mi mwenzako I feel good 'pindi nikuona
Au huo mwendo unafanya kusudi na ulivyo shona

Ati unakwenda au unarudi wakata kona
Nyuma ka-katoon za masoud ulivyo nona eh!
Hivi unapenda wavifua karoboti? (ama sanam)
Au wazee wakununua wamwaga noti (akina salam)

Oooh! Ooh! Anita macho kama unaiita (aaahahaaa)
Ah! Saa sita shape vela sidika (aaaahaaa)
Anita macho kama unaiita (aaahaaaa)
Ah! Saa sita shape vela!

Ah! Show me show me show me, (unavyo dance)
Show me show me show me (waonyeshe unavyo
Dance)
Show me show me show me (unavyo dance)
Show me show me show me (waonyeshe unavyo dance)

Umenifinyanga kama dona, makonde na ndonya
Kama mpira Maradona kichuya kona
Na wakisema na mawenge wambie weranson
Wakiringisha peremende nitakugawia kon'

Chunga kipenzi majaribu mabaya sana Ooh!
Nawe ndo doctor wakunitibu niwe salama Ooohh!

O Baby Anita macho kama unaiita (Aaahaaa)
Saa sita kiuno ka yondo sister (aahaaaa)
Anita macho kama unaiita (aaahaaaa)
Saa sita kiuno kali you ndo sister

Ah! Show me show me show me, (unavyo dance)
Show me show me show me, (waonyeshe unavyo dance)
Show me show me show me, (unavyo dance)
Show me show me show me, (waonyeshe unavyo dance)

WASAFI

Asa Mombasa, Nairobi (Sakata dance)
Kampala, Kigali (sakata dance)
Hadi Zimbabwe Equatori (sakata dance)
Naija, Somali (sakata dance)

Wangu wa hapa near road (sakata dance)
Chaungu cha kwa sadali (sakata dance)
Na unyamani biobi (sakata dance)
Kizonga kwa Natali (sakata dance)

Aah aaah aaaahaa aaaahaa

Unavyo dance

Aah Aaah aaahhaa Ahaahhaa

Waonyeshe unavyo dance

Writer(s): Dijon Isaiah Mcfarlane, Christopher Maurice Brown, Brian Collins Jr., Christian Joel Jones, Jeremy P. Felton, Allen George, Fred Craig Mcfarlane, Mikely Wilhelm Adam

不想看到广告?马上升级

API Calls

从 Spotify 记录音乐?

将您的 Spotify 帐户连接到您的 Last.fm 帐户,通过任何设备或平台上的任何 Spotify 应用记录您所听的一切内容。

连接到 Spotify

关闭