Låttexter

Malenga wa kubadili zao nia,
Kama una masikio sikia,
Usije basi ukapuliza gunia,
na wenye roho nyepesi watasengenya,
hawatatuombea,
na mi nishakupenda wee
kwa wazazi nikupeleke,
na mi nishakupenda wewe... wewe

PRE-la la la la la la la la
la là la la la la la la
la la la la la la la la
la la la la la la la la

Låttexten fortsätter nedan ...

Vill du inte se annonser? Uppgradera nu

(In Unison)
Subira jaribu kuivuta leo,
Subira jaribu kuivuta eeeeeh,
Subira jaribu kuivuta leo,
Subira jaribu kuivuta leeeeoooo...

2(Maureen)
Bagua, bagua, utabaguliwa,
Pokea utakubaliwa,
Tabia tabia, imani ndiyo njia,
nimeamua nikupende,
Watu wasitenganishe,
Niwe wako milele,
juu mi nishakupenda wewe,
kwa wazazi nikupeleke,
mi nishakupenda eeeeeh

PRE-

Writer(s): Wambui Ngugi, Brian Chweta Omwoyo, Maureen Muthoni Kunga

Vill du inte se annonser? Uppgradera nu

API Calls

Skrobbla från Spotify?

Anslut ditt Spotify-konto till ditt Last.fm-konto och skrobbla allt du lyssnar på från alla Spotify-appar på alla enheter eller plattformar.

Anslut till Spotify

Avvisa