Lyrics
JIANGALIIIE!
"Wa Ya see
Eyoo Mesen
(MESEN SELEKTA)
Nalog out,kwenye mishe za kijinga.
Me ni star,so nalog out kwenye mishe za kuringa.
Kutembea kwa mguu
,Nalog out nina ndinga.
Nalog out kwenye mishe zote za kuvimba.
Log out kwenye mishe mishe za udananda.
Sista duu kufanya kulog out kwenye mishe za kudanga.
Jenga kwako meen.Log out nyumba za kupanga.
Acha ushirikina log out kwenye wanga.
Sirudi teeena.nalog out kwenye uzinzi.
Nachapa kazi nalog out kwenye wizi.
Easy!Para kama Mr Blue bizz.
Nalog out viduku ili mishe ziwe easy.
Yeah
Eeh!Bwana Ndio.
Wana tunalog out kitaa,kwa hizi hustle mpaka washangaeeee
Eeh!Bwana ndio.
Ukija na hizo nyambu za mitaa,we utafanya nikukataeee.
Eeh!Bwana Ndio.
Wana tunalog out kitaa,kwa hizi hustle mpaka washangaeeee
Eeh!Bwana ndio.
Ukija na hizo nyambu za mitaa,we utafanya nikukataeee.
Maana mishe za kijinga,LOG OUT!
Story za kidwanzii.LOG OUT!
Mishe za kumoka aaaah aaah aaah aaaah aaaaah
Aaah aaah ayeeh!
LOG OUT!
Siku hizi Dodoma jiji,so nalog out Dar.
Daladala nalog out,mwewe napaa.
Mtaani hali ngumu so log out bata.
Kuwa fake nalog out,nazima hadi data.
Ukimute namute pia,nalog out shobo.
Mgeni fanya kulog out,kwetu unga robo.
Nataka kuwa smart,so nalog out ganja.
Kulewa sifa nalog out,nautaka huo mkwanja.
Baki njia kuu log out michepuko.
Masuala ya bifu na kudiss nishalog out huko siko.
Baby,I love you.
I love you too.
Hunitaki nalog out.
Vya dezo vitakuua kwenye vitonga log out.
Yeaah!
Eeh!Bwana Ndio.
Wana tunalog out kitaa,kwa hizi hustle mpaka washangaeeee
Eeh!Bwana ndio.
Ukija na hizo nyambu za mitaa,we utafanya nikukataeee.
Eeh!Bwana Ndio.
Wana tunalog out kitaa,kwa hizi hustle mpaka washangaeeee
Eeh!Bwana ndio.
Ukija na hizo nyambu za mitaa,we utafanya nikukataeee.
Maana mishe za kijinga,LOG OUT!
Story za kidwanzii.LOG OUT!
Mishe za kumoka aaaah aaah aaah aaaah aaaaah
Aaah aaah ayeeh!
LOG OUT!
Haha!Fad man kawa Rasta,Mesen kawa Rasta mzuraa!!
(FAD P)
Waya waya say,Waya waya say!!
Waya,sing and say!Ey
Yah! Mesen Selekta,Sing'a Sing'a.
Gimme Dat!
Shababa baba Bambeeee!
Pili Bum,Check!
Pili Bum!Mesen
Me gotta me gotta Yah Yah Yah!
Me gotta.
We burn this you know.
Defatality you know.
A new face new chapter.Yooooh
Hehee!
Its your bway
We out ma bway.
Its Mesen Selekta,You know what am saying.
Sing'a Sing'a
Mesen Rasta Mzuraa
Do I know.
Maana mishe za kijinga!
Story za kidwanzii.!
Mishe za kumoka aaaah aaah aaah aaaah aaaaah
Aaah aaah ayeeh!
DEFATALITY MUSIC