Lyrics
kunanimbonii
si naumia, kunamengi yanayonikwaza aah,
nalalamikaaa nan! huku nalia
japo usoni mmii nachekagaaaaah
nasikia mapenzi kikoooz pemben nakuona na tvii...
ama nusura uzima, nisije kata kauliii.
nakumuacha siwezi kwa mutima kashakuwa nguli,
kanifinyanga mazima penzi limebaki kivuliii!
japo pombe nakunywa cha ajabu silewiii,
zinazidisha mawazo aki yamungu sielewi...,
mwezenu pombe na kunywa cha ajabu silewi
zinazidisha mawazoo, mawazoo oooh!
mumyiiii na iman na we, naiman naah×2
naimaan we ndio mtuliza mawazo*2