Şarkı Sözleri

Malenga wa kubadili zao nia,
Kama una masikio sikia,
Usije basi ukapuliza gunia,
na wenye roho nyepesi watasengenya,
hawatatuombea,
na mi nishakupenda wee
kwa wazazi nikupeleke,
na mi nishakupenda wewe... wewe

PRE-la la la la la la la la
la là la la la la la la
la la la la la la la la
la la la la la la la la

Sözler aşağıda geliyor...

Reklamları görmek istemiyor musun? Şimdi yükselt

(In Unison)
Subira jaribu kuivuta leo,
Subira jaribu kuivuta eeeeeh,
Subira jaribu kuivuta leo,
Subira jaribu kuivuta leeeeoooo...

2(Maureen)
Bagua, bagua, utabaguliwa,
Pokea utakubaliwa,
Tabia tabia, imani ndiyo njia,
nimeamua nikupende,
Watu wasitenganishe,
Niwe wako milele,
juu mi nishakupenda wewe,
kwa wazazi nikupeleke,
mi nishakupenda eeeeeh

PRE-

Writer(s): Wambui Ngugi, Brian Chweta Omwoyo, Maureen Muthoni Kunga

Reklamları görmek istemiyor musun? Şimdi yükselt

API Calls

Spotify üzerinden skroplama mı olsun?

Spotify hesabınla Last.fm hesabını bağla ve herhangi bir Spotify uygulaması, herhangi bir cihaz veya platform üzerinden dinlediğin her şeyi skropla.

Spotify'a bağlan

Son ver