Playing via Spotify Playing via YouTube
Skip to YouTube video

Loading player…

Scrobble from Spotify?

Connect your Spotify account to your Last.fm account and scrobble everything you listen to, from any Spotify app on any device or platform.

Connect to Spotify

Dismiss

A new version of Last.fm is available, to keep everything running smoothly, please reload the site.

Ni Wewe - Lyrics

Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe
Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe
Wa kupewa sifa na utukufu na heshima
ni wewe, mwenye nguvu na uweza ni wewe
Wa kupewa sifa na utukufu na heshima
ni wewe, mwenye nguvu na uweza ni wewe

Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe
Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe
Wa kupewa sifa na Utukufu na heshima
ni wewe, Mwenye nguvu na uweza ni wewe.
Wa kupewa sifa na Utukufu na heshima
ni wewe, Mwenye nguvu na uweza ni wewe.
Wa kupewa sifa na Utukufu na heshima
ni wewe, Mwenye nguvu na uweza ni wewe.

Ufanye moyo waaangu uwe wa kukuaabudu baba yangu.
Yafanye maisha yaaangu yawe ya kukusifu weweee
Maana pweke wastahili heshima na
utukufu mwenye nguvu na uweza ni wewe.
Peke yako wastahili heeshima na
utukufu mwenye nguuvu na heshima ni wewe.
Ooohh Halleluyah

Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe
Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe
Wa kupewa sifa na Utukufu na heshima
ni wewe, Mwenye nguvu na uweza ni wewe.
Wa kupewa sifa na Utukufu na heshima
ni wewe, Mwenye nguvu na uweza ni wewe.
Wa kupewa sifa na Utukufu na heshima
ni wewe, Mwenye nguvu na uweza ni wewe.

Nilizaliiiwa mimi kwa neeema yako,
niliuuumbwa baba kwa mfano wakoooooo.
Yani pasa nikutumikie wewe peke maana wewe tu ni mwenye nguvu na uweza
Yani pasa nikutumikie wewe peke maana wewe tu ni mwenye nguvu na uweza

Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe
Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe
Wa kupewa sifa na Utukufu na heshima
ni wewe, Mwenye nguvu na uweza ni wewe.
Wa kupewa sifa na Utukufu na heshima
ni wewe, Mwenye nguvu na uweza ni wewe.
Wa kupewa sifa na Utukufu na heshima
ni wewe, Mwenye nguvu na uweza ni wewe.

Don't want to see ads? Subscribe now

API Calls