Playing via Spotify Playing via YouTube
Skip to YouTube video

Loading player…

Scrobble from Spotify?

Connect your Spotify account to your Last.fm account and scrobble everything you listen to, from any Spotify app on any device or platform.

Connect to Spotify

Dismiss

A new version of Last.fm is available, to keep everything running smoothly, please reload the site.

Lyrics

Oooh oooh
Hey yeiii yeah,

Sukari imegeuka chumvi
Paka amegeuka chui
Matope yamekuwaga vumbi
Maziwa yamegeuka tui

Lyrics continue below...

Don't want to see ads? Subscribe now

Kupendana baba ni kwa zamani
Siku hizi kufa kufaana
Upendo hauna thamani,
hey Upendo na mama mama
ni kwa zamani Siku hizi kufa kufaana Upendo hauna thamani,

Dunia ina raha yake iyee
Na mabaya yamo humo
Na visanga vyake iyee
Na mabaya yamo humo

Dunia ina raha yake iyee
Na mabaya yamo humo
Na visanga vyake iyee
Na mabaya yamo humo

Ukifika nenda mwambie
Dakika moja tu Mimi
nataka niongee naye
Dakika moja tu,

Akichelewa nitasubiri Nitangoja tu
Ila nataka niongee naye
Dakika moja tu Aaaah...
Naona kama me nachomwa na jua Usiku mkali,
na maradhi naugua Unanichanganya,
navyo sema nazingua Kisasi na salary,
me nawaza nawazua Aaah,
si ulikubali, kwa kila hali
baba Leo mwisho wa safari,
unarudi nyuma baba Si ulikubali,
kwa kila hali baba Leo mwisho wa safari, unarudi nyuma baba Hee,

Dunia ina raha yake iyee
Na mabaya yamo humo
Na visanga vyake
Na mabaya yamo humo
Dunia ina maajabu yake
Na mabaya yamo humo
Na visanga vyake iyee
Na mabaya yamo humo
Ukifika nenda mwambie
Dakika moja tu
Mimi nataka niongee naye
Dakika moja tu
Akichelewa nitasubiri,Nitangoja tu
Ila nataka niongee naye
Dakika moja tu M
wambie azibe nyufa
Akichelewa nitakufa

Hey Sawa sawa,
sawa sawa Sawa sawa,
sawa sawa Sawa sawa,
sawa sawa Sawa sawa,
sawa sawa

Writer(s): ruby

Don't want to see ads? Subscribe now

Features

API Calls