Playing via Spotify Playing via YouTube
Skip to YouTube video

Loading player…

Scrobble from Spotify?

Connect your Spotify account to your Last.fm account and scrobble everything you listen to, from any Spotify app on any device or platform.

Connect to Spotify

Dismiss

A new version of Last.fm is available, to keep everything running smoothly, please reload the site.

Kitimutimu - Lyrics

Nawauliza ninyi sasa mnaojikweza,
Hivi kweli mnajua ni nini mwisho mwisho wa maisha yenu?
Mnakula, mnashiba lakini mbona hamfikirii?
Majigambo ... na dharau ni ubatili mtupu!

Mwawadharau masikini wasiojiweza;
Neno lake Bwana Mungu ni upuuzi kwenu;
Mwawadharau Wahubiri wanapohubiri;
Injili yake Bwana Mungu ni upuuzi kwenu

Eti!
Mwasema "ponda mali, kufa kwaja!"
Mmebobea kwenye dhambi kama wapumbavu
Vipofu msioijua njia
Mnayoiendea ... Sasa jeukeni!

Poleni kwenu sasa kwa kuwa mmehubiriwa
(Furaha) Furaha mliyo nayo itageuka msiba kwenu
(Chakula) Chakula cha anasa kitageuka mwamba wenu
(Wekezeni) Wekezeni kwa matajiri

Don't want to see ads? Subscribe now

API Calls