Playing via Spotify Playing via YouTube
Skip to YouTube video

Loading player…

Scrobble from Spotify?

Connect your Spotify account to your Last.fm account and scrobble everything you listen to, from any Spotify app on any device or platform.

Connect to Spotify

Dismiss

A new version of Last.fm is available, to keep everything running smoothly, please reload the site.

Najivunia Yesu - Lyrics

Najivunia Yesu Bwana wangu kwa kunipa uwezo
mwingi, kufa msalabani kwa ajili yangu najivunia simba wangu
Nilipokua gizani mwokozi kaniahidi uzima milele
Najivunia Bwana wa majeshi, simba wa Yuda wa kunipa nguvu

(Simba wa Yuda) Yesu amenipa uwezo, wa kufanya kazi yake
(Oh oh Yesu) Yesu amekupa uwezo wa kufanya kazi yake
(Simba wa Yuda) Zamani sikuitambua kwani nilikua gizani
(Oh oh leo) Leo nina sababu nyingi, za kujivinia Yesu

Bwana kweli wewe ni mwaminifu, ulinitoa mautini
Utukuzwe Mungu upewe sifa hakuna Mungu kama wewe
Ndege, wanyama ata na wadudu wanajivunia upendo wako
Mungu wangu Mungu wa miujiza utukuzwe sana ata milele

(Yesu) za kujivunia Yesu
(Yesu Yesu) za kujivunia Yesu
(Yesu Yesu) za kujivunia Yesu
(Yesu Yesu) za kujivunia Yesu
(Yesu Yesu) za kujivunia Yesu

Don't want to see ads? Subscribe now

API Calls