Playing via Spotify Playing via YouTube
Skip to YouTube video

Loading player…

Scrobble from Spotify?

Connect your Spotify account to your Last.fm account and scrobble everything you listen to, from any Spotify app on any device or platform.

Connect to Spotify

Dismiss

A new version of Last.fm is available, to keep everything running smoothly, please reload the site.

Melody - Lyrics

Haya leo tumetenda
Pokea sifa
Na kwa yale utatenda wewe ni bwana
Haya leo tumetenda
Pokea sifa
Na kwa yale utatenda wewe ni bwana
Ni tabibu kanitibu roho yangu eeh
Kafungua bila kujua kwake ye pekee
Akaingia nikasikia amani kalete
Kuna sababu ya kitabu rohoni uweke
Ukijaribu kuwa neema tendo yake utashanga
Sauti yake yanguruma yajaza yote anga
Ndani yake nimetulia na roho yangu inang'aa
Siondoki sipotoki na job yake hakuna balaa
Sijali less, Sina stress, Kani-bless, See the case
Amani daima, Moyoni ntaimba
Sitalia, Fikiria, Nimetulia, Nilipie
Kani feel, Kawa real, Nika heal, Sina bill
Haya leo tumetenda
Pokea sifa
nNa kwa yale utatenda wewe ni bwana
Haya leo tumetenda
Pokea sifa
Na kwa yale utatenda wewe ni bwana
From deep down my heart sifa zina come flowing
Napigwa na butwaa niki think of pendo lako
Umeni love despite the evil that I did
Siwezi goma kukusifu hata siku one
Kwa giza ulinitoa
Nikawa niko poa
Nami nikajiloa
Kwa damu akaniokoa
Watu wakinilenga
Yeye ananipenda
Kwani nimejijenga
Kwa msingi ulio bora
Haya leo tumetenda
Pokea sifa
Na kwa yale utatenda wewe ni bwana
Haya leo tumetenda
Pokea sifa
Na kwa yale utatenda wewe ni bwana
Up and down, Jehovah you are the ruler
Neema na rehema zako zanitosha mie
Bila shaka ntakusifu mola wangu
Kwa makubwa na madogo na kwa yale utado
Kaniweka huru
Baada ya kutubu
Akanijaza na wema wake
Sa mi sina shaka
Kanipa baraka
Tena mafuta akanipaka
Haya leo tumetenda
Pokea sifa
Na kwa yale utatenda wewe ni bwana
Haya leo tumetenda
Pokea sifa
Na kwa yale utatenda wewe ni bwana
Haya leo tumetenda
Pokea sifa
Na kwa yale utatenda wewe ni bwana
Haya leo tumetenda
Pokea sifa
Na kwa yale utatenda wewe ni bwana
Ametenda bwana
Ametenda bwana
Ametenda bwana
Ametenda bwana Yesu
Ametenda bwana
Ametenda bwana
Ametenda bwana
Ametenda bwana Yesu
Friday to Friday, Yesu ni bwana
Madame na machale, Yesu ni bwana
Milima na mavalley, Yesu ni bwana
Yesu ni bwana, Yesu ni bwana,
Jan to December, Yesu ni bwana
Nyumbani na kwa shamba, Yesu ni bwana
Kushuka na kupanda, Yesu ni bwana
Yesu ni bwana, Yesu ni bwana

Don't want to see ads? Subscribe now

API Calls