Playing via Spotify Playing via YouTube
Skip to YouTube video

Loading player…

Scrobble from Spotify?

Connect your Spotify account to your Last.fm account and scrobble everything you listen to, from any Spotify app on any device or platform.

Connect to Spotify

Dismiss

A new version of Last.fm is available, to keep everything running smoothly, please reload the site.

Upendo - Lyrics

Ni mwaka mwingine tena!
Tumepitia milima na mabonde!
Lakini tumevukaa, tumeshindaa!
Kwa neema yakeee!
Siku yangu imefikaa!
Na nina iimbaa, HALLELUJAAAH!
Ubarikiwaa sio mule, nikunyenyekea
Na kumpata yesuu (Kumpata Yesu)
Ubarikiwaa sio mule, nikunyenyekea
Na kumpata yesuu
Ni YESU tu(ni Yesu tuu)
Sababu ya majira
Ni YESU tu
Tusheherekee
Ni Yesu tu
Mkombozi wetu
Acha upendo wake utambae yahiya
Acha upendo wake utambae yahiya

MUNGU kapenda huu ulimwengu
Katupa mwanawe yesu ajeee
Kwa sababu, yetu sisi
Kwa upendoo kutuokoaaa
Tumehuruhumiwaa
Basi woote, TUFURAHIEE
Ubarikiwa sio mule, na kunyenyekea,
Na kumpata yesuuu,
Ubarikiwaa sio mule, nikunyenyekea,
Na kumpata yesuu,
Ni YESU tu,
Sababu ya maajira,
Ni YESU tu,
Twasherekea (twasherekea),
Ni YESU tu,
Mkombozi wetu,
Acha upendo wake utambae iya! iya! iya!
Acha upendo wake utambae iya! iya! iya!

Umempata YESU,
sema YEH YEH!
Umempata YESU,
sema YEH YEH!
Amekuokoa,
Sema YEH YEH!
Amekuokoa,
Sema YEY! YEH YEH YEH YEH YEH!

Ni YEEESU tu,
Sababu ya maajira,
Ni YESU tu,
Twasherekea(yesu tu ×3)…
Ni Yesu tu,
Mkombozi wetu,
Acha UPENDO utambae iya! Iya! Iya
Acha UPENDO utambae iya! Iya! Iya
Upendo wa ajabu(utambae iya iya iya)
Upendo wa Yesu (utambae iya iya iya)

(Wacha upendo wake utambae iya iya iya).

Similar Artists

Don't want to see ads? Subscribe now

API Calls