Playing via Spotify Playing via YouTube
Skip to YouTube video

Loading player…

Scrobble from Spotify?

Connect your Spotify account to your Last.fm account and scrobble everything you listen to, from any Spotify app on any device or platform.

Connect to Spotify

Dismiss

A new version of Last.fm is available, to keep everything running smoothly, please reload the site.

Lyrics

Iyeeee eh!
Uuhhhh... uuhmmm
Yeaaaaah
The African Princess

Penzi kina kirefu nimeamini
Umenituliza
Hakia Mungu siamini
Yaweje we nwezangu na mimi
Hautoniliza Kama samaki alotoka Baharini Maana mapenzi unayonipa
Kwa mwingine sijaona
Sijala nanenepa
Walipochana umeshona hoooo
Wanipa raha sana we dada
Nje sitamani
Penzi lako tam tam
Wanipa raha sana we dada
Nje sitamani Unavonipa mashamsham [HOOK] Eeh!
Nimenasa na nimenasika (Sina unjanja)
Na sipapariki papariki
mi kwako nimefika (Sina unjanja)
Mieeee eeeeeh... kwako (Sina unjanja)
Mie eeeeh... (Sina unjanja)

Lyrics continue below...

Don't want to see ads? Subscribe now

Hata na Mimi nitshatumbukia
Sihitaji kwingine
Nakuona king name malikia pengine
Dezo dezo unanidekeza
Kwanyimbo za pwani ukinichombeza Kitandani ndo umeniweza
Nalala kama pono ukinibembeleza
Baba ooh Baba eeh,
Utaniuwa aah Baba ooh,
Baba iyeeee
Maana mapenzi unayonipa
Kwa mwingine sijaona
Sijala nanenepa
Walipochana umeshona oooh
Wanipa raha sana we Kaka
Nje sitamani
Penzi lako tam tam
Wanipa raha sana we kaka
Nje sitamani Unavonipa mashamsham
Eeh! Nimenasa na nimenasika (Sina
unjanja) Nasipapariki papariki mi kwako nimefika
(Sina unjanja)
Mieeee eeeeeh... kwako
(Sina unjanja)
Oh mieee eeeeh... kwako
(Sina unjanja)
Nasipapariki papariki mi kwako nimefika
(Sina unjanja)
Oh mieee eeeeh... (Sina unjanja)
Mieee eeeeh Kwako (Sina unjanja)
Umenishika umenishika umenikamata ooh (Sina unjanja)
Hmmmm, Iyé

Writer(s): lomodo

Don't want to see ads? Subscribe now

Features

API Calls