Playing via Spotify Playing via YouTube
Skip to YouTube video

Loading player…

Scrobble from Spotify?

Connect your Spotify account to your Last.fm account and scrobble everything you listen to, from any Spotify app on any device or platform.

Connect to Spotify

Dismiss

A new version of Last.fm is available, to keep everything running smoothly, please reload the site.

Jerusalem - Lyrics

Je umepata kusikia habari, za Yerusalemi ukishuka angani?
Je ndugu utakuwepo juu angani, Yerusalemi ukishuka?
Dunia yanikatisha tamaa, nirudi nyuma
Lakini mimi sirudi nyuma, napaa angani,
Yerusalemi

Yerusalemi utashuka juu angani
Mji wa raha tutatawala na Yesu
Yerusalemi utashuka juu angani
Mji wa raha tutatawala na Yesu

Nitaendesha gari la kifalme nitakapofika juu mbingunia
Nikizunguka kwenye mitaa ya mbinguni, miguuni pa Yesu
Usiku mchana hahuishi, mji ni mzuri wa ajabu
Nitaingia kwa shangwe kwenye mji ule, mji wake Yesu

(Nitaendesha) gari la kifalme
(Nitalivaa) joho la kifalme
(Mimi nakwenda) sitarudi nyuma
(Mimi nakwenda) nakwenda mbinguni

Nitaziba masikio yangu, nisisikie ya ulimwengu
Nisikie sauti ya Yesu moyoni mwangu
NItaziba masikio yangu, nisisikie ya ulimwengu
Nisikie sauti ya Yesu moyoni mwangu
Nami nitakaa nyumbani mwa Baba milele

Yerusalemi, tutaingia kwa shangwe,
Tutasahau masumbuko ya dunia

Don't want to see ads? Subscribe now

API Calls