Playing via Spotify Playing via YouTube
Skip to YouTube video

Loading player…

Scrobble from Spotify?

Connect your Spotify account to your Last.fm account and scrobble everything you listen to, from any Spotify app on any device or platform.

Connect to Spotify

Dismiss

A new version of Last.fm is available, to keep everything running smoothly, please reload the site.

Toa Tint (Mask Off) - Lyrics

Hey, have you seen khaligraph.?
That nigga looks like he done bleached his skin
What you think man.? like its crazy
Too much make up maybe.?
Toa tint
Khali ametoa tint(is you serious)
Toa tint
Khali ametoa tint(is he for real)
Mask off
He got that mask off
Mask off
He got that mask off(mask off)
Toa tint
Khali ametoa tint
Toa tint
Khali ametoa tint
Mask off
He got that mask off
Mask off
He got that mask off

Check it
Story iko kwa mitandao
Ati nakaa ka defao
Ati nimetupa mbao
Juu sura ni rangi ya thao
They call me the addi bleacher
Juu ya filter me huweka kwa picha
But as long as siku hizi najipa
Mi sijali na story za sifa
Nimebleach hadi ngoma natoa
Nimebleach hadi cladi navaa
Nimebleach hadi ndai naendesha
Nimebleach hadi mbogi ya mtaa
Only thing sijableach ni mikono
Juu nitazidi kuwachoresha giza
Me ndio bully hupiga hawa ma mono
Hawa marapper wamekuwa na madiva
Juzi nilikuwa raundi Dubai
Nikapatana na fally ipupa
Akanishow nywele weka dye
Na sura upake mafuta
He told me that shit comes with consequences
So be ready for some action
I told him i don't give a fuck nigga
I wanna be Michael Jackson
So hii mbogi ina chuki saa hii
Ati wanatry kunicrucify
Ati nimekuwa mushy mushy aii
Ati juu nimeanza kuvaa suti saa hii
Boy mjanja toka eastlando
Mtaa yangu inaitwa Gaza
Nilianza bleaching toka kitambo
Ndio saa hii nashine ka mwangaza
Jones
So naeza turn to Vera Sidika
Lakini hamtoshi hii talent(never)
Or maybe even get a sex change
Lakini bado hamtanichallenge(never)
Siku hizi muziki zangu digital
Tattoo nazo pia visible
Utachizi kama hujui hizi ndizo hype si hupenda unaeza uliza willy paul
We keti hapo ukistudy picha
Admiring all the new khali features
Am thinking services zipande bei for a photo with me saa hizi nalipisha
So go ahead call me Vybz Kartel
Ukitaka pia addi bleacher
Or Vera Sidika wa rap as well
It doesn't matter maze kazi kwisha
Subaru sa nimeshakinda
Nime-upgrade kwa Range
Si hio ndio form ya ma-lightskin
Am very sorry ka hunipendi
Since story za bleaching zianze
The whole country inaongelea
I figured am just a big deal so performance fee naongezea
You bloggers should be grateful
Because of me now you hired
Cuz if i didn't give a story
Then right now you'd be fired
Mimi si papa Jones Me ni Papa Wemba ama Madilu ama Koffi
Me ndio rapper don na wananipenda saa me najidu juu hawatoshi
Damn
Eeii, maze hebu cheki hawa wasee buda wananichekesha tu vibaya sana
Eti Jones mara oh!
Defao
Mara sijui Jones nini.buda yaani juu ya hio story sasa, nimebleach
Na nimebleach hadi haga, nimebleach hadi balls
Ata nimebleach my everything man
Ata nimebleach my studio blu ink
Ata nimebleach my whips.everything is bleached out bro
Halafu nyi marapper msicheze na mimi nitawachapa vibaya sana
Sana sana wewe umeisha fashion, we unajijua hautajwi leo
Eeh tupatane na huko hivyo buda
1960 respect the OG's nigga
Papa Jones buda yao
Endeni mkaambie hao wasee waweke lighting yao vizuri bana
Si ati ni mimi ati sijui nini nini

Toa tint
Khali ametoa tint(is you serious?)
Toa tint
Khali ametoa tint(is he for real.?)
Mask off
He got that mask off
Mask off
He got that mask off
Toa tint
Khali ametoa tint
Toa tint
Khali ametoa tint
Mask off
He got that mask off
Mask off
He got that mask off

Don't want to see ads? Subscribe now

API Calls