Playing via Spotify Playing via YouTube
Skip to YouTube video

Loading player…

Scrobble from Spotify?

Connect your Spotify account to your Last.fm account and scrobble everything you listen to, from any Spotify app on any device or platform.

Connect to Spotify

Dismiss

A new version of Last.fm is available, to keep everything running smoothly, please reload the site.

Lyrics

OG
Aay, say leave me alone
Kaa hauna mpango ama form
Usinipigie simu
Don't be calling on my phone

Leave me alone
If you can't keep up with the Jones
I'd rather ukae mbali
Don't be coming to my zone

Lyrics continue below...

Don't want to see ads? Subscribe now

Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, wachana na mimi
Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, wachana na mimi

Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, achana na mimi
Leave me alone, achana na mimi
Leave me alone, achana na mimi

Mnabambika na vako
Zile nyi husoma mpasho
Ile idhaa niko hustle
Mi nikipanguza jasho
Mnaeneza udaku
Ndio muongezwe za macho
Lakini nakula kichapo
Kofi, soki na kahasho
Tangu niende commercial
Nimekuwa controversial
Ngori zile niko nazo
Zimeniletea vikwazo
Mahater wanakaza matako
But OG anakazanga muscle
So usidedi na mawazo
Juu kama si yako ni yako
Na you cannot be on my circle
Omollo, Odinga, Obako
Presenter anaringa na Passo
Utadhani amenunua Rav 4
Mashow mi hupiga kila sato
Design ya Tracy na Mato
Si ndio hukuja ruracio
Kuotea soda na chapo

Nina mbogi ya ushago
Na manyako wanani thago
Nina jeshi ya kina Zero
Na zimewashikia Dago
Mi hushindaga na kina Wambo
Kwa ile kibanda Pango
Tuko juu ya reggae kanambo
Na tuko rada ya makanjo

Say leave me alone
Kaa hauna mpango ama form
Usinipigie simu
Don't be calling on my phone

Leave me alone
If you can't keep up with the Jones
I'd rather ukae mbali
Don't be coming to my zone

Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, wachana na mimi
Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, wachana na mimi

Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, achana na mimi
Leave me alone, achana na mimi
Leave me alone, achana na mimi

Ayy, unataka kunipimia life as if huwaga ni fare (Fare)
Mpaka watoto wa juzi saaii jo wananidare (How?)
Hii maisha ni kuishi vile unataka, ama niaje? (Iyee)
So sitaki nizame na stori za pressure ka Natalie Tewa (Nope)

Mtaa mi huwanga ni mayor (Aah)
Kwa teli ni mi wana air (Aay)
I know you will think it ain't fair (Ha!)
But my nigga we never care (Nope)
Siri ni kunyenyekea
Ndo ujue ni wapi unaelekea
So kuanzia leo jua mi nadeclare
That lazima ngoma zitaenea

Mnapenda kuni-bother
Kunichafulia rada (Staki)
Huku mimi najikaza (Staki)
Sauti yangu mimi napaza
Beat nikipewa unajua namurder
Bongo, kapuka, genge ama ragga
Tangu wajue siku hizi mi ni baba
Shoree wangu wako chini ya waba (Waba)
Ni mimi ndo wanapenda kutupua lawama (Woo)
Juu saaii natengeneza pesa na wao hawana (Staki)
Hakuna kitu ya bure buda ni kukazana (Iyee)
Juu leo jo watatucheka na kesho ni karma

Say leave me alone
Kaa hauna mpango ama form
Usinipigie simu
Don't be calling on my phone

Leave me alone
If you can't keep up with the Jones
I'd rather ukae mbali
Don't be coming to my zone

Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, wachana na mimi
Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, wachana na mimi

Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, achana na mimi
Leave me alone, achana na mimi
Leave me alone, achana na mimi

Siwajui (Siwajui)
Siwatambui (Siwatambui)
Leo napiga mtumba na kesho ntapiga Louis
Na haikuhusu, yangu maisha
Leo bonga chafu kesho ntakunyamazisha

Everyday we on
Now you in my zone
Na kama hauna mpango
Just get out about my phone
You not with the game
So I suggest you don't
Bring me all the bullshit
Just leave me alone

Hahaha, yeah

I do the vibe and the bitch caught it
All of you niggas is distorted
Legendary nigga, reach border
I'm on the track kama Kipchoge
Maisha yangu kaiwahusu
Nyi manyoka nawashuku
Nawapiga marufuku (Brr)
Mi nikipiga tu looku
Nasema siwatambui
Hiyo ufala haikui
So kama wewe ni adui
Leo utajua haujui

Nimesema siwatambui
Hiyo ufala haikui
So kama wewe ni adui
Leo utajua haujui

Say leave me alone
Kaa hauna mpango ama form
Usinipigie simu
Don't be calling on my phone

Leave me alone
If you can't keep up with the Jones
I'd rather ukae mbali
Don't be coming to my zone

Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, wachana na mimi
Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, wachana na mimi

Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, achana na mimi
Leave me alone, achana na mimi
Leave me alone, achana na mimi

Don't want to see ads? Subscribe now

Features

API Calls