Playing via Spotify Playing via YouTube
Skip to YouTube video

Loading player…

Scrobble from Spotify?

Connect your Spotify account to your Last.fm account and scrobble everything you listen to, from any Spotify app on any device or platform.

Connect to Spotify

Dismiss

A new version of Last.fm is available, to keep everything running smoothly, please reload the site.

Didimia - Lyrics

Na Didimia Akiongezeka, Akiongezeka,
Didimia Akiongezeka, Akiongezeka,
Didimia Didimia Didimia, Akiongezeka,
Didimia Didimia Didimia, Akiongezeka,
Corruption Zii, Staki Cheti Bandia,
Na Didimia, Ni Kaa Napisha Jeshi Kwa Njia,
Didi Mie, Yesu Ndiye Nadandia,
Mimi Chini Yeye Juu Kama Nundu Ya Ngamia,
Mambo Ya Mungu Namuachia Alpha Omega,
Na Mimi Niwe Chini Ya Maji Kama Omena,
Kuishi Na Kifua Kujifanya Mimi Najua,
Mambo Mingi Nawachia Soap Opera,
Nakubali Tu Makosa Nina Kimbelembele,
Niache Moto, Nianze Tu Kupiga Kelele,
Takatifu, Maringo Naionea Mbele,
Nianze Nyuma, Yesu Anipeleke Mbele,
Unajua Mi Na Yesu Tuna Corporation,
Ubondia Itanipeleka Operation,
Ugomvi Ninaona Kaa Nitatupa Mbali,
Heh!! Nimpe Saluti Kaa Mkubwa Wa Serikali,
Na Didimia Akiongezeka, Akiongezeka,
Didimia Akiongezeka, Akiongezeka,
Didimia Didimia Didimia, Akiongezeka,
Didimia Didimia Didimia, Akiongezeka,
Wacha Nisijifanye Mjanja, Mjanja Ni Jesus,
Mi Nina Tricks, Ye Miujiza,
Maswali Kibao Ni Ye Mi Huuliza,
Bila Ye Hunioni Kaa Makaa Kwa Giza,
Place Amenitoa Nikianza, Story,
Kaa Nimekukosea Tafadhali, Sorry,
Kuweza Bila Yeye Manze, Ngori,
Ni Yake Yote, Nini?, Glory,
Ha!! Sa Na Didimia,
Kaa Bei Ya Mandazi Sifiki Mia,
Nisijichoche Na Tupesa, Hizi Mia,
Ndio Nifike Binguni Nikizimia,
Sita Buy Pampers, Na Sina Mtoto,
Sitapika Ugali Na Ka Unga Kadogo,
Eh! Mungu Awe Mungu, Nibaki Mdogo,
Hii Life Si Yangu, Ni Kama Mkopo,
...Haiya, Iko Wapi Chorus?...
Na Didimia Akiongezeka, Akiongezeka,
Didimia Akiongezeka, Akiongezeka,
Didimia Didimia Didimia, Akiongezeka,
Didimia Didimia Didimia, Akiongezeka,
Na Didimia Akiongezeka, Akiongezeka,
Didimia Akiongezeka, Akiongezeka,
Didimia Didimia Didimia, Akiongezeka,
Didimia Didimia Didimia, Akiongezeka,
So Namfuata Kaa Mtu Na Yake Pet,
Ye Anipanga Kaa Soda Kwa Crate,
Ka Soldier Kwa Gate, Hakuna Siasa,
Hatu Debate, Itabidi U Behava,
Ni Easy Ku Plant Life Ama Ku Degrave,
Kaa Rada, Kaa Doctor Kwa Theater,
Act Like You Know Ni Kaa Uko Theater,
Nazidi Kushuka, Kushuka, Kushuka, Eh Eh,
(Yeye Akiongezeka, Ah)
Nazidi Kushuka, Kushuka, Kushuka, Eh Eh,
(Yeye Akiongezeka, Ah)
Nazidi Kushuka, Kushuka, Kushuka, Eh Eh,
(Yeye Akiongezeka, Ah)
Nazidi Kushuka, Kushuka, Kushuka, Eh Eh,
(Yeye Akiongezeka, Ah)
Na Didimia Akiongezeka, Akiongezeka,
Didimia Akiongezeka, Akiongezeka,
Didimia Didimia Didimia, Akiongezeka,
Didimia Didimia Didimia, Akiongezeka,
Eh Didi Moji Eh,
Eh Didi Moji Eh,
Eh Didi Moji Eh,
Eh Didi Moji Eh,
... Ah Na Round This Si Kelele Taka... Ah,
Ni Kelele Takatifu...
Teddy B... Tumeshiba!!!

Similar Artists

Don't want to see ads? Subscribe now

API Calls