Playing via Spotify Playing via YouTube
Skip to YouTube video

Loading player…

Scrobble from Spotify?

Connect your Spotify account to your Last.fm account and scrobble everything you listen to, from any Spotify app on any device or platform.

Connect to Spotify

Dismiss

A new version of Last.fm is available, to keep everything running smoothly, please reload the site.

Utukuzwe - Lyrics

Jambo moja Natamani nikukuabundu baba kwa
moyo wangu wote na nguvu zangu zote nikuimidii

Eeeweh baba, jina lako litukuzwe
Eeeweh Jehovah, jina lako litukuzwe

Yafungue macho yangu nikuonee baba badilisha mawaza yangu yote
nikujue zaidi nipe moyo safi nifaae mbele
zako nisikiie nikuitapo masaidizi wangu eeeh

Nifinyange upendavyo mimi mwana wako niandaae nitakase najitoa kwako
nipe nguvu za safari nifunze njia
zako nishikilie uwe nami baba hadi mwisho

Don't want to see ads? Subscribe now

API Calls