Lyrics

Nalikuwa sijiwezi
Unyonge ulinielemea
Sikuwa na tumaini
La mbele kuendelea
Imani ilififi, sikuona kabisa
Kama moja ya nyenzo ilyotikisika
Nalikosa tabasamu usoni
Tegemeo sikuona maishani

Nikashindwa endelea mbele
Hali iliyofanya nikwame Kule
Ulikonitoa ni mbali sana
Ni kweli umenikomboa nashukuru sana
Ulikonitoa mbali sana
Ukanikomboa na zile laana
Mbali sana
Mbali sana
Mbali sana
Nashukuru bwana
Uliona haiko shwari Mimi kupotea njia
Sijui ni namna gani uliwaza ukanihurumia
Na nilifanania jangwa mvua kutonyeshea
Nami mche mbichi maji yalinikaukia
Shida mateso Sina tena yamewekwa nyuma
Mimi wa Yesu mwingine Sina wa kunirudisha nyuma
Wakati wa kuokolewa umekubalika
Kwa haki na ushupavu wake ukatimizika

Lyrics continue below...

Don't want to see ads? Upgrade Now

Ulikonitoa ni mbali sana
Ni kweli umenikomboa nashukuru bwana
Ulikonitoa ni mbali sana
Ukanikomboa na zile laana
Mbali sana
Mbali sana
Mbali sana
Kwenye mateso Kule
Mbali sana
Nalionelewa
Ukanisaidia
Mbali sana
Eeeh mbali eeeh
Mbali sana
Ulikonitoa bwana wewe
Nashukuru wewe
Nashukuru bwana
Naah naah
Mbali sana
Mbali sana
Mbali sana

Writer(s): Beda Andrew

Don't want to see ads? Upgrade Now

API Calls

Scrobble from Spotify?

Connect your Spotify account to your Last.fm account and scrobble everything you listen to, from any Spotify app on any device or platform.

Connect to Spotify

Dismiss