Playing via Spotify Playing via YouTube
Skip to YouTube video

Loading player…

Scrobble from Spotify?

Connect your Spotify account to your Last.fm account and scrobble everything you listen to, from any Spotify app on any device or platform.

Connect to Spotify

Dismiss

A new version of Last.fm is available, to keep everything running smoothly, please reload the site.

Tugire Urukundo - Lyrics

Je umekumbuka kumuombea yule umpendae,
jamani twazingira na maovu mengi kwahyo yatupasa kuombeana sana
Mtoto wako atoka asubuhi sana kwenda shule,
sokoni na kadhalika apitapo kumejaa
mabaya mengi sana mama mwombee mtoto wako

Apitapo ajali ni nyingi (mwombee mtoto wako)
Mbwa wakali wamzingira(mwombee mtoto wako)
Siku hizi vibaka ni wengi (mwombee mtoto wako)
Oooooh ooh (mwombee mtoto wako)

Ewe mama watenganishwa na Mme wako kaenda safari ya mbali kikazi,
je umemwombea kule aliko mbali na
wewe kumbuka amezingirwa na maovu mengi

Kule nasikia kuna wachawi(mwombee Mme wako)
Na wenzake kumwonea wivu(mwombee Mme wako)
Kuelewana na mabosi zake (mwombee Mme wako)
Afya njema asiugue(mwombee Mme wako)

Ewe baba watenganishwa na mke wako kaenda safari ya mbali shuleni je
umemwombea kule aliko mbali na
wewe kumbuka amezingirwa na maovu mengi

Kamwombee sana mke wako (mwombee mke wako)
Aweze kufaulu shuleni (mwombee mke wako)
Majaribu mengi yampata(mwombee mke wako)
Uvumilivu kwa kila jambo(mwombee mke wako)

Ooh oh oh (mwombee mtoto wako)
Ooh oh oh(mwombee Mme wako)
Ooh oh oh(mwombee mke wako)

Don't want to see ads? Subscribe now

API Calls