Playing via Spotify Playing via YouTube
Skip to YouTube video

Loading player…

Scrobble from Spotify?

Connect your Spotify account to your Last.fm account and scrobble everything you listen to, from any Spotify app on any device or platform.

Connect to Spotify

Dismiss

A new version of Last.fm is available, to keep everything running smoothly, please reload the site.

Amani - Lyrics

Yesu ndiye njia, njia ya amani, amani ya milele njooni twende kwake.
Yesu ndiye njia, njia ya amani, amani ya milele njooni twende kwake.

Watu wote duniani, kwa siku hizi za mwisho, wanajaribu njia zote,
za kuleta amani, wanatafuta kila pande,
mikutano kila siku, walakini ndugu zangu, tumeshindwa kupata amani...

Yesu ndiye njia, njia ya amani, amani ya milele njooni twende kwake.
Yesu ndiye njia, njia ya amani, amani ya milele njooni twende kwake.

Serikali za dunia, mabaraza ya umoja,
na mabaraza ya fedha na kila mtawala, wimbo wao ni amani,
ndoto zao ni amani, lakini badala ya amani, tumepata vita, mmmh.

Yesu ndiye njia, njia ya amani,
amani ya milele njooni twende kwake (njooni twende kwake) Yesu ndiye
njia, (oh oh oh oh) njia ya amani (njia ya amani) amani
ya milele(njooni) njooni twende kwake(njooni twende kwake)

Yesu ndiye njia, njia ya amani, amani ya milele njooni twende kwake.
Yesu ndiye njia, njia ya amani, amani ya milele njooni twende kwake.

Serikali za dunia, mabaraza ya umoja,
na mabaraza ya fedha na kila mtawala, wimbo wao ni amani,
ndoto zao ni amani, lakini badala ya amani, tumepata vita, mmmh.

Yesu ndiye njia, njia ya amani,
amani ya milele njooni twende kwake(njooni twende kwake) Yesu ndiye
njia(oh oh oh oh) njia ya amani(njia ya amani) amani ya
milele(njooni) njooni twende kwake(njooni twende kwake)
Yesu ndiye njia(oh oh oh oh),
njia ya amani(njia ya amani) amani ya milele (njooni) njooni twende
kwake (njooni twende kwake) yesu ndiye njia,
njia ya amani, amani ya milele njooni twende kwake.

Binadamu kumbukeni, kwamba yesu peke yake, ndio mfalme wa amani,
hakuna mwingine, kila mtu akubaliye he,
kwamba yesu ndiye bwana, bila shaka atapata amani binguni, Haleluyah.

Yesu ndiye njia, njia ya amani, amani ya milele njooni twende kwake. (
Yesu ni mwenzira) Yesu ni mwenzira,
(oh oh oh oh) nzira ya mahoro(mahoro) amahoro enteka, ndilo tumu sane.

(njooni twende kwake) Yesu ndiye njia,
njia ya amani, amani ya milele (njooni) njooni twende kwake (
Yesu ni mwenzira) Yesu ni mwenzira,
(oh oh oh oh) nzira na mahoro(mahoro) amahoro enteka,
(njooni twende kwake) Yesu ndiye njia,
njia ya amani, amani ya milele njooni twende kwake. (
Yesu ni mwenzira) Yesu ni mwenzira,
(oh oh oh oh) nzira na mahoro(mahoro) amahoro enteka
END.

Don't want to see ads? Subscribe now

API Calls